Berean Gospel Ministers все тексты (слова) песен, переводы, видео, клипы
ChanukaZamani nilipokuwa mtoto nilifikiria kama mtoto
nilisemasema kama mtoto niliyoyatenda ni ya utoto
sirudi nyuma nimekuwa mzima
maisha mapya ndani ya Yesu Kristo
Chanuka ndani yake Yesu vuka utoto wa kiroho
imarika kwa msingi wa neno chakula bora cha kiroho
piga hatua songa mbele mpaka lini u mtoto
Tutakaa Mahali Pa MajiMahali pa maji mazuri maji ya uzima;
Anapotungoja Yesu tutakaribishwa.
Chorus
Mahali pa maji mazuri, penye maji ya uzima;
Tutakaa na Mwokozi, chemchemi ya uzima.
Tunapochoka safarini, tamu kupumzika.